Steve Nyerere atoa povu asema bongo fleva imepotea kabisa

Steve Nyerere atoa povu asema bongo fleva imepotea kabisa

pamoja na kwamba wengi wanamnanga hapa lakini kuna ukweli,nguvu ya bongo fleva inashuka sijui watanzania wanachanganyikiwa na maisha ya magufuli au sijui ni nini? maana bongo movie,taarab,mziki wa dansi ishajifia,huku nako bongo fleva hakueleweki wakitoa nyimbo hakuna mtikisiko kabisa kama zamani
Muziki wa Darasa si umetoka kutingisha juzi tu hapa, Show Me ya Harmonize/Mavoko mbona inabang kwa sasa? Au hadi watikise kina Diamond na Kiba ndo uone Bongofleva iko hai? Ila kwa upande fulani watz wamepunguza attention kwenye masuala ya burudani kutokana na mambo yanayoendelea kwenye siasa tangu mwaka uanze
 
Back
Top Bottom