screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Muziki wa Darasa si umetoka kutingisha juzi tu hapa, Show Me ya Harmonize/Mavoko mbona inabang kwa sasa? Au hadi watikise kina Diamond na Kiba ndo uone Bongofleva iko hai? Ila kwa upande fulani watz wamepunguza attention kwenye masuala ya burudani kutokana na mambo yanayoendelea kwenye siasa tangu mwaka uanzepamoja na kwamba wengi wanamnanga hapa lakini kuna ukweli,nguvu ya bongo fleva inashuka sijui watanzania wanachanganyikiwa na maisha ya magufuli au sijui ni nini? maana bongo movie,taarab,mziki wa dansi ishajifia,huku nako bongo fleva hakueleweki wakitoa nyimbo hakuna mtikisiko kabisa kama zamani