Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

Maelezo ya awali yanaeleza kuwa mtoto huyo wa Agnes analelewa na wifi za agnes,tena wakati Agnes akikata viuno majukwaani hawa wifi zake walimlea mtoto!na hata kama Agnes alikuwa akimjali mwanae basi alikuwa akipeleka fedha za matunzo kwa hao wifi zake!! Sasa huyu Kibaka Steve mengele(nyerere) anataka kutuambia kuwa hizo rambirambi anataka kumkabidhi nani? Au yeye atamchukua huyo mtoto aishi naye? Kwa nini lakini nyie watu wa ccm mnataka watanzania tuanze kuogopa kusaidiana au kuchangiana penye matatizo kwa hofu ya vimichango vyetu kuyeyukia matumboni mwenu?laanakhum
 
Hivi steve kila msiba yy nwenyekiti huwa hakosi
 
Kwani eggy aliacha wosia akifa bongo movie wamsaidie kulea huyo mtoto? Ushuuzz mtupu Steve anaongea
 
kwani yeye ni baba wa mtoto...
KUNA JINGINE LILIZIMIA LAKINI LESO LIMESHIKILIA HAN-'''IT.....H.I LILE LILIKAA NA DEMU MKALI VILE BILA KUMZALISHA.... jinga sana madume suruali ya bongo movie..... MTOTO MKALI LINALALA NAYE CHUMBA KIMOJA ZAIDI YA MWAKA HALIJAMZALISHA SIJUI KWA NINI.... ona sasa amekufa eti rambirambi mnajipendekeza kwa mtoto wa marehemu wakati ana baba yake ambaye hana undugu na bongo movie na mtoto atasomeshwa bure taarifa tunazo...

HIZO PESA PELEKA KWA FAMILIA HARAKA SANA, AU MPENI YULE DUME ALIYE NA MTOTO WAKE MAANA YEYE NDIYE MZAZI WA HUYO MTOTO MSIJIFANYE MNMJALI SANA MTOTO AMBAYE HANA NDUGU BONGO MOVIE.
Hapana, yeye si baba wa mtoto bali ni Meneja wa Marehemu.
 
Mi ninachoshangaa, Masogange alikuwa ana-post mabunda ya noti Instagram , kwanini mwanae asomeshwe kwa michango? Zile pesa ziko wapi?
 
Ukiwa mbongo muvi omba usije ukafa mazishi yako yakasimamiwa na wabongo muvi wenzio yaani lazima wapige rambirambi za familia yako.

Huyu anajibu kama mwanasiasa fulani hivi uchwara,rambirambi ndiyo ni za mtoto wa marehem je wewe umezihifadhi wapi na kam nani maana ingetegemea wakati anajibu hivyo atoe na ushahidi kwamba account ya mtoto hii hapa na imeandikwa jina lake kweli.

Hizo hela kwanini asipewe babu yake akazitunza ina maana anajiona muaminifu zaidi ya huyo mzee ambaye ni mjukuu wake?haingii akilini kabisa hii!
na ni kuitusi familia ta marehemu ,baba wa mtoto na kila anayehusika na huyo mtoto
 
Back
Top Bottom