Steve Nyerere awajibu wanaolalamika pesa za msiba wa Masogange

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnampa majukumu dananda mnategemea nini!!!
 
Maelezo ya awali yanaeleza kuwa mtoto huyo wa Agnes analelewa na wifi za agnes,tena wakati Agnes akikata viuno majukwaani hawa wifi zake walimlea mtoto!na hata kama Agnes alikuwa akimjali mwanae basi alikuwa akipeleka fedha za matunzo kwa hao wifi zake!! Sasa huyu Kibaka Steve mengele(nyerere) anataka kutuambia kuwa hizo rambirambi anataka kumkabidhi nani? Au yeye atamchukua huyo mtoto aishi naye? Kwa nini lakini nyie watu wa ccm mnataka watanzania tuanze kuogopa kusaidiana au kuchangiana penye matatizo kwa hofu ya vimichango vyetu kuyeyukia matumboni mwenu?laanakhum
 
Hivi steve kila msiba yy nwenyekiti huwa hakosi
 
huyu Jamaa na wenzake kwa kuendekeza njaa"" hawajambo ""
 
Kwani eggy aliacha wosia akifa bongo movie wamsaidie kulea huyo mtoto? Ushuuzz mtupu Steve anaongea
 
Hapana, yeye si baba wa mtoto bali ni Meneja wa Marehemu.
 
Mi ninachoshangaa, Masogange alikuwa ana-post mabunda ya noti Instagram , kwanini mwanae asomeshwe kwa michango? Zile pesa ziko wapi?
 
na ni kuitusi familia ta marehemu ,baba wa mtoto na kila anayehusika na huyo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…