Steve Nyerere kaidhalilisha CCM

Umeandika meengi ila hiyo mwana FA unayemtetea mbona haitendei heshima ya uheshimiwa wake.

Kwenye ile Clip ametamka wazi kwamba yeye ni mhuni na upande alioko kuna wahuni wengi kuliko upande wa uongozi wa bodi.

Akiendelea akasema...hawataki kulazimishwa kuutumia uhuni wao ila ikibidi watafanya...

Huyo ni mbunge aliyeko ndani ya bunge.
 
Kwani kusema ukweli ni kudhalilisha...????

Na kama huu sio wakati wa kusema,, ni lini kitafanya tujue wakati wa kusema umefika....

Infact with time, kitu kitakaa mahala pake.. Only Karma knows
 
Steve amemfunua peupe mwendazake.

Hivi ndivyo alivyo haribu uchaguzi wetu.
 
Wabunge wa kuwekwa kwa shughuli maalum.
 
Kweli kabisa, magumashi yalikuwa mengi sana mwaka juzi. Mungu tu ndo anajua. Acha wtafunane, Steve ni wa CCM na mbunge wa Mchongo ni wa CCM.
Na hiyo ndo inanihakikishia kabisa mwendazake hivi sasa anaogelea ndani ya moto usio zima milele
 
Mlaumuni Stive kwa lingine lakini hili la Wabunge wa VIMEMO 100% correct.
 
wata kulana wenyewe.

Kwa vile wasanii bila ccm watakosa nguvu.

haya yote ni ccm na watu wake.

sawa mwanga kumtuhuumu mchawi
 
Mkuu salaam.Usisahau maandiko pia yanasema ukweli utakuweka huru,Na hiki ndicho alichokifanya dogo.

Ukweli ni silaha inayohitajika popote /wakati wote maana ndo chanzo cha haki inayozaa amani.

Ukweli 2019/2020 hapakuwa na chaguzi bali mazingaumbwe/kiini macho.
 
CCM wanavuna walichopanda.Huu ni mwanzo mavuno ni mengi subiria mkuu.
 
Hakuna kuomba radhi. Haukuwa uchaguzi bali uchafuzi, au tuongeze sauti!!!!!!!!
 
Nimesoma lkn sijaelewa ulichoancika
 
ccm hakijawahi kuacha kudhalilika kutokana na matendo yake ovu.

Steave yuko sahihi, wabunge wengi wa ccm walibebwa hawakushinda!

Kuna wabunge 19 (covid19) wapo bungeni bila ridhaa ya chama chao bali kwa 'kimemo' cha watesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…