nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Hivi Steve nyerere Huyu wa Iringa mbona ni mtu mdogo sana ?
Kuunda hoja zenyewe hajui, sina chama ila kwa huyu kina hata mwenyekiti wa kitongoji hana uwezo kukiongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kina Shonza!Kwa CCM huyu anatakiwa kuwa waziri. UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI.
Huyo Pastor Kondoo wake amewaweka zizi lipi?