Steve Nyerere - Kwamara ya kwanza nimemuelewa huyu dogo.

Steve Nyerere - Kwamara ya kwanza nimemuelewa huyu dogo.

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
662
Wafunge na TV stations zoote tubaki CD player, sinunui bongo movie. Wajiulize mbona hatulazimishwi kununu au kusikiliza bongo flavor? Kwasababu wanashindana sambamba na soko. Kizuri chajiuza!
 

Attachments

Hoja yake inaingia akirini labda ni bashite tu ndie anaweza kupinga
 
Kweli bashite ana damu ya kunguni, kila akijaribu kutafuta kiki inatema, kweli huyu jamaa ni kilaza wa mwendo kasi
 
Back
Top Bottom