Steve Nyerere: Manara ulitupwa na Simba, Hersi akakuokota. Huna hata shukrani

Steve Nyerere: Manara ulitupwa na Simba, Hersi akakuokota. Huna hata shukrani

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Anaandika @stevenyerere2

“Nimekusikiliza mara 100 Sijakuelewa kabisa kabisa Kila saa Nasema hivi baada ya kutolewa baruti Simba Nani alikuokota Kitaaaaa Napata jibu Hers,..

Nikajiuliza Tena Hers hana Jema Nikajipa Jibu Binadamu Ameumbwa Na kusahau Samehe,....

Ikaenda Nikajiuliza Tena Yanga Ulitaka wakufanyie nini Maana wewe Ulikuwa Mfungwa kazi ya Yanga ni kuhakikisha Mfungwa Anakula Na analala jela nzuri, Hilo Hersi Alifanikiwa.,.,

Ila Nimecheka kumbe GAMONDI alikulia Bati sasa mbona ulikuwa unamsifia bonge la kocha kumbe hata number yake huna,...Inaumaga hiyo Unamkubali mtu kumbe yeye hataki hata kukuona,.

Nakukanya hata huyu kocha mpya Anayekuja Hakutaki kapata story zako long time broooo,...

Ningekuwa mimi ndio wewe ningesha Rudisha kadi ya Yanga mapema, Maaana wana Yanga Ukiwambia Hersi hafai Dua utakazo ombewa Balaaaaa,..”

#KitengeSports
 

Attachments

  • 1731172981218.jpg
    1731172981218.jpg
    325.8 KB · Views: 4
Kambilikimo kame jichanganya kwa chizi ashura cheupe kajiandae kwa kichambo cha kujaa daftali sita za msomi
 
Back
Top Bottom