Steve Nyerere: Manara ulitupwa na Simba, Hersi akakuokota. Huna hata shukrani

Kumekucha......!!
 
Wazee wakutuchanganya, safari hii sijui kuna taharuki gani mjini... Hadi mwezi uishe tutaimba Yanga hadi tukome
 
Kwani anasemaje.
Anasema yafuatayo:

1.Alifungiwa akiitetea club ya yanga lakini wao hawakumtetea alipofungiwa-At the same time anakiri kuwa alikua akilipwa mshahara kipindi chote alipo fungiwa.

2.Anasema mkataba wake na Yanga ulipaswa kuisha 2026 lakini hajui umeisitishwaje na hataki kuuliza,kisa amevuka level za kuuliza kwa Hersi.

3.Anasema yeye aliambiwa ni mwanachama tu wa Yanga,So Hersi Ndio alimkosea heshima yeye ni mtu mwenye influence Yanga.

3.Hana urafiki na Hersi sasa maana wanamiezi mitatu hawaongei,Hapo awali walikua wanapigiana simu Mlawa siku Mara 40 ?

4.GSM ni mtu muugwana sana,Hana shida na GSM anamlipa vizuri kuliko wachezaji na mtu yeyote kwenye mpira wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…