Nyani Ngabu akija hapa atakwambia hivyo vigari vikuu kuu ndio mnamwita tajiri..Hizi hapa kaka wala usijali sana.
Hahaha
Sikushangai ndo maana umepost utumbk[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Mimi si mleta mada ila mimi nimemuonea huruma huyo aliyeomba picha halafu wakawa wanamponda ndio mimi nikamwekea.Nyani Ngabu akija hapa atakwambia hivyo vigari vikuu kuu ndio mnamwita tajiri..
Alafu vigari vyenyewe vimepakiwa mpaka barazani.. teh teh teh Tajiri Nyerere
Umeongea vizuri sana mwanzo ila umeharibu kuisema TOYOTA kama ni gari zisizo na thamani ila kumbuka ndio kampuni ya magari inayoongoza kwa mauzo duniani hadi kufikia mwaka 2014 ingia hapa uone Car manufacturers: largest car companies by sales 2014 | Statistic mwaka jana tu ndio wamepigwa bao na volkswagen.Ngoja nimwite Munawar aje avi thaminishe hivyo vikopo, halafu unaweza kukuta majivuno yoote bima yake ni third party,motor vehicle zimekwisha,watu wanajivunia ng'ombe na mbuzi mazizini,washamba wanajivunia vigagari vya miaka ya tisini tena Toyota.,godamn!!!!.
Magari ni utajiri nao kumbe
To me hiyo sio gari, kama hoja yako ni USAFIRI from point A to B thats fine,but when it comes to comfortability durabiliry na luxury, hiyo sio gari,tafadhali usibishane Nami kuhusu magariUmeongea vizuri sana mwanzo ila umeharibu kuisema TOYOTA kama ni gari zisizo na thamani ila kumbuka ndio kampuni ya magari inayoongoza kwa mauzo duniani hadi kufikia mwaka 2014 ingia hapa uone Car manufacturers: largest car companies by sales 2014 | Statistic mwaka jana tu ndio wamepigwa bao na volkswagen.
Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?To me hiyo sio gari, kama hoja yako ni USAFIRI from point A to B thats fine,but when it comes to comfortability durabiliry na luxury, hiyo sio gari,tafadhali usibishane Nami kuhusu magari