Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
 
Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?
Honestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?
 
Umeongea vizuri sana mwanzo ila umeharibu kuisema TOYOTA kama ni gari zisizo na thamani ila kumbuka ndio kampuni ya magari inayoongoza kwa mauzo duniani hadi kufikia mwaka 2014 ingia hapa uone Car manufacturers: largest car companies by sales 2014 | Statistic mwaka jana tu ndio wamepigwa bao na volkswagen.
kuongoza kwa mauzo sio kuongoza kwa thamani kubwa. hata maji ya uhai yanaongoza kwa mauzo dar lakini sio bora zaidi ya kilimanjaro. kizuri gharama! hujamuelewa huyo, na hujui magari.
 
To me hiyo sio gari, kama hoja yako ni USAFIRI from point A to B thats fine,but when it comes to comfortability durabiliry na luxury, hiyo sio gari,tafadhali usibishane Nami kuhusu magari
Duuuuuuuuuh hii ya leo kali, shikamoo mjuzi wa magari ila naomba unijibu kitu kimoja tu kama mtu anauza zaidi ya mwingine na anatengeneza faida kubwa kuliko wote duniani maana yake bidhaa zake si ni nzuri sana au wewe unaonaje mjuzi wa magari ????????????????
 
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.
Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi?
Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
 
Hizi hapa kaka wala usijali sana.
images
Ndicho nilichokitaka hicho mkuu, nadhani kilichobaki ni uthibitisho tu wa kwamba gari hizo ni zake na sio alipiga nazo picha tu.
 
Magari ni utajiri nao kumbe
Du watu wanamashauzi Kama lile shoga la EATV lililoonyeshwa FNL.

Unajua Bei ya Prado New Model? Crown? Rav 4 New Model? kukusaidi gharama ya Hizo Gari zinakaribia 200m,Kama anaweza kutoa milioni 200 kununua magari na kujenga nyumba ya mabilioni ni tajiri,au wewe unajua tajiri lazima awe Kama Ali mafurushi,mengi,Bakhresa,dewji?
 
Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi?
Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
ha-ha jamaa kasema anamiliki AUD Q7 Unamwangaaaaaa povuuuuu!! design flan kama umepanik kusikia jamaa anamiliki AUD Q7??????? tafuta hela
 
Du watu wanamashauzi Kama lile shoga la EATV lililoonyeshwa FNL.

Unajua Bei ya Prado New Model? Crown? Rav 4 New Model? kukusaidi gharama ya Hizo Gari zinakaribia 200m,Kama anaweza kutoa milioni 200 kununua magari na kujenga nyumba ya mabilioni ni tajiri,au wewe unajua tajiri lazima awe Kama Ali mafurushi,mengi,Bakhresa,dewji?
We ni Steve Nyerere? Mkuu mbona povu na kashfa juu? Kusudi tusitoleane hewa ya ukaa hebu tupe tafsiri ya utajiri so that we are on the same page.

Utajiri wa kugauge kwa properties zinazodepreciate with time ni very interesting, come after two years with the same properties and give me their value
 
Back
Top Bottom