isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,407
Meantime Audi Q7,bro!!Sijawahi kuendesha hizo takataka zenu, Nina 50yrs, nimemiliki gari for the past 30yrs, gari yangu yakwanza nilipewa zawadi na marehemu baba yangu, which was Volkswagen Beetle, ilikuwa ya shule,after that niko huku hizo takakata zenu hawazijui, ni European made tu,where class and standard matters.Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?