Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Hamna tajiri anayeishi nyumba ya kupanga kinondoni moscow magengeni. ...mtaa anaokaa hamna nyumba inayofika kodi laki 4

Hapo umenena mkuu wa2 wanaishi fake life utakuta hata kodi kulipa ni kwa shida....maisha ya bongo movie wengi ni fekero
 


miaka yote aliyofanya sanaa angetakiwa awe na lambogini so kawaida wacha ajiongeze

ila si naskia wanam....... ngoja nisubiri
 
Subiri wamfuate TRA? halafu maadili ya umma si kwa watumishi tu lazima atajibu alikopata mali
 
mutawaaacha watu wanakufa hivihivi jmn ,mtu akipga picha na gar la jiran au rafik ni utajiri? ha ha ha ha bongo kweli movie acha iendeleee
 
savimbi Jr..na pia masanja kafungua mgahawa tabata unaitwa MASANJA WALl NYAMA
 
binafs naona masanja ndyo msanii tajir coz huku mbeya ubaruku anamiliki mashamba ya mpunga hekal kama 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…