Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Umeshinda vita mkuu. Big up!Usiseme toyota sema takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshinda vita mkuu. Big up!Usiseme toyota sema takataka
Bora ume agree to disagree,big up bro!!Umeshinda vita mkuu. Big up!
Hamna tajiri anayeishi nyumba ya kupanga kinondoni moscow magengeni. ...mtaa anaokaa hamna nyumba inayofika kodi laki 4
Sasa hapo umefuata rangi,si bora ujitupe kwenye nissanunatania sio?
![]()
![]()
Wanarukaruka koote ila hapo umelenga mkuuYou don't sound like a 50yr old
Sio rangi tu...hata price tag hio Q7 yako haigusi hio Land cruiser v8Sasa hapo umefuata rangi,si bora ujitupe kwenye nissan
🙄Honestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?
@PRONDO ninunulie hiyo takataka ya plumunatania sio?
![]()
![]()
Hahaha umeona eh. Mwenyewe niliguna hapo Hahaha
@PRONDO ninunulie hiyo takataka ya plum
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake?
Umiliki
1. Toyota prado(new model)
2. Toyota Rav 4( new model)
3. Toyota crown majesta
4. Jeep cherokee
5. Toyota ractis(kwa mama)
Anajenga nyumba ya mabilioni tegeta, nani yupo nyuma ni juhudi binafsi ama?
hahahahaha 4 jiwe ndo utajiri wa kutishaHamna tajiri anayeishi nyumba ya kupanga kinondoni moscow magengeni. ...mtaa anaokaa hamna nyumba inayofika kodi laki 4
I'm on que to grab the tittle Mrs. PRONDO![]()
I get goose bumps when i see a lady driving this! My wife must drive this!
Hii sentensi ya mwisho wataalamu wa kuunganisha dot wanahitajika japo sio kivile.miaka yote aliyofanya sanaa angetakiwa awe na lambogini so kawaida wacha ajiongeze
ila si naskia wanam....... ngoja nisubiri
Huyu si ndo yule kijana aliekomba mali ya marehemu kanumba mpaka akagombana na mama kanumba?Hizi hapa kaka wala usijali sana.
![]()