Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
😱😱😱😱😱😱😱 simo mieHii sentensi ya mwisho wataalamu wa kuunganisha dot wanahitajika japo sio kivile.
Ndiyo yeye huyo anayezitumia vizuri fulsa za misibani.Huyu si ndo yule kijana aliekomba mali ya marehemu kanumba mpaka akagombana na mama kanumba?
Umesomeka!😱😱😱😱😱😱😱 simo mie
Ha ha wanam...ha ha ha isije kua kweli yan mtu ale mavi na kuhonga juu?nnavyojua wanaokulwa n'nya ndio wanaohonga nani anayetaka kunuka mavi?miaka yote aliyofanya sanaa angetakiwa awe na lambogini so kawaida wacha ajiongeze
ila si naskia wanam....... ngoja nisubiri
Hii story si ya kweli mama kanumba huyu ndie msaada wake kwa sasa, hata saguda jamaa nasikia alitoa hadi hel zake kutoka kwa membe kufinance Rachel kujifungua, pamoja na kuwazika mtoto na mke na bado watu wakazisha kala rambi rambi, na mpaka leo hii huyo saguda ni anaona aibu japo mwnzini likuwa ni kama beki 3 wa steveHuyu si ndo yule kijana aliekomba mali ya marehemu kanumba mpaka akagombana na mama kanumba?
Utabaki hivyo hivyo wasanii wengi siku hizi wana hela acha hizo za masanja za kutapeli waumini, wengi wanauza ngada na kusafirisha, trip moja mil 50-75 kwa mwaka akipiga trip 10 ana kiasi gani kisichokatwa kodi?binafs naona masanja ndyo msanii tajir coz huku mbeya ubaruku anamiliki mashamba ya mpunga hekal kama 100
Bac huu ni umbeaHizi swaga zishapitwa na wakati since 2013
Honestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?
Mat@k0 wewe lazima mtu uwe concern kwani huku bundle ni bure,nyie ndio magufuli anao wahusudu kwa matumizi,mimi sijiungi ya siku kama wewe kiazi,mpaka shemeji akupe gari ukaoshe ndio upige pangaNina mashaka na mtoto wa godfather! yaani uko ulaya halafu unawaza bundle kuisha? we ni mjinga wa aina yake, maana hata tulio bongo tena interior kabisa tukitumia halotel, hatuwazi bundle kuisha.
kuhusu magari mi simo, maana hata toyo sina mie
teh endelea kukomaa na card za magari..... Mtu ana nunua gari na kumiliki mali na haweki jina lake, hata kikinuka visiweze kutaifishwa vyote....
Kabisa, tena zinatosha kuanzisha kiwanda cha usafirishaji, muite mh. aje akifunguenamm tajir namiliki bajaj nne
Shangaaaa atupishe huko. Sie hatutaki brand isiyo na uhakika wa upatikanaji wa spares. Usikute ni fundi garejiKwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?