Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

habari za uhakika ni kwamba ana akaunti nchini malta yenye dollar milioni 3.4 na hiyo ni kutokana na mauzo ya filamu zake kali ambazo zinafanya vizuri kimataifa​
 
miaka yote aliyofanya sanaa angetakiwa awe na lambogini so kawaida wacha ajiongeze

ila si naskia wanam....... ngoja nisubiri
Ha ha wanam...ha ha ha isije kua kweli yan mtu ale mavi na kuhonga juu?nnavyojua wanaokulwa n'nya ndio wanaohonga nani anayetaka kunuka mavi?
 
Huyu si ndo yule kijana aliekomba mali ya marehemu kanumba mpaka akagombana na mama kanumba?
Hii story si ya kweli mama kanumba huyu ndie msaada wake kwa sasa, hata saguda jamaa nasikia alitoa hadi hel zake kutoka kwa membe kufinance Rachel kujifungua, pamoja na kuwazika mtoto na mke na bado watu wakazisha kala rambi rambi, na mpaka leo hii huyo saguda ni anaona aibu japo mwnzini likuwa ni kama beki 3 wa steve

Jamaa nasikia anavuta kutoka kwa mmilik wa gsm
 
binafs naona masanja ndyo msanii tajir coz huku mbeya ubaruku anamiliki mashamba ya mpunga hekal kama 100
Utabaki hivyo hivyo wasanii wengi siku hizi wana hela acha hizo za masanja za kutapeli waumini, wengi wanauza ngada na kusafirisha, trip moja mil 50-75 kwa mwaka akipiga trip 10 ana kiasi gani kisichokatwa kodi?

Achana na hizi wanazohongwa na mapadeshee town na watombj
 
Honestly nataka kujua gari gani unasukuma, pia unaimiliki 100%,haina mkopo wa mwajiri wako, pia ulianza mwaka gani kumiliki chombo cha moto,ili nijue namaliza bundle yangu na nani?

Nina mashaka na mtoto wa godfather! yaani uko ulaya halafu unawaza bundle kuisha? we ni mjinga wa aina yake, maana hata tulio bongo tena interior kabisa tukitumia halotel, hatuwazi bundle kuisha.

kuhusu magari mi simo, maana hata toyo sina mie
 
Nina mashaka na mtoto wa godfather! yaani uko ulaya halafu unawaza bundle kuisha? we ni mjinga wa aina yake, maana hata tulio bongo tena interior kabisa tukitumia halotel, hatuwazi bundle kuisha.

kuhusu magari mi simo, maana hata toyo sina mie
Mat@k0 wewe lazima mtu uwe concern kwani huku bundle ni bure,nyie ndio magufuli anao wahusudu kwa matumizi,mimi sijiungi ya siku kama wewe kiazi,mpaka shemeji akupe gari ukaoshe ndio upige panga
 
kazi ngum sn kupumuliwa bora kubeba zege

my game,my rules
 
Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?
Shangaaaa atupishe huko. Sie hatutaki brand isiyo na uhakika wa upatikanaji wa spares. Usikute ni fundi gareji
 
Back
Top Bottom