GE2025 Steve Nyerere: Polepole kumsema Rais vibaya siyo Miiko wa Maadili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi heshima wala maadili kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwamba mtu yeyote mwenye busara hawezi kutumia jukwaa la umma kumvunjia heshima kiongozi wa taifa.

"Kumzungumzia Rais kwa namna ya kubeza siyo tu kukosa maadili bali pia ni dalili ya chuki binafsi na kupotea kwa misingi ya uzalendo," alisema Steve.

Aidha, Steve Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kuwaunga mkono viongozi waliopo madarakani, huku akisisitiza umuhimu wa kutumia uhuru wa kutoa maoni kwa njia ya heshima na kujenga, si kubomoa.

Sitaki kuamini kuwa ukiwa mfupi na uwezo wako wa akili nao unakuwa mfupi!

Huyo steve angejikita zaid kwenye sanaa ya uingizaji ingekuwa vyema huku kwenye siasa awaachie wahusika! Kulinda heshima yake.
 
Polepole na Steve nyenyere wote ni wafupi tu… na wembamba
 
Kweli chama kimevamiwa na wahuni, chawa anajibu akili kubwa
 
Mjinga wa Taifa anapataje nafasi kujadili hoja nzito za Slowslow
 
Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi heshima wala maadili kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwamba mtu yeyote mwenye busara hawezi kutumia jukwaa la umma kumvunjia heshima kiongozi wa taifa.

"Kumzungumzia Rais kwa namna ya kubeza siyo tu kukosa maadili bali pia ni dalili ya chuki binafsi na kupotea kwa misingi ya uzalendo," alisema Steve.

Aidha, Steve Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kuwaunga mkono viongozi waliopo madarakani, huku akisisitiza umuhimu wa kutumia uhuru wa kutoa maoni kwa njia ya heshima na kujenga, si kubomoa.

View attachment 3427489
Hakunaga utamaduni wa kumsema shetani vizuri au kwa adabu.

Shetani alipokuwa Malaika Mkuu aliheshimiwa barabara. Tangu alipomuasi Mungu haheshimiwi wala kusemwa vizuri na mtu yeyote tena. Ni mwendo wa kukemewa strongly and contemptuously.

Samia The Killer ni shetani wa Kitanzania. Mungu alimkabidhi hii nchi ili aiongoze kwa mujibu wa Katiba na sheria zake, lakini amefanya uasi mkubwa. Anakanyaga haki za watu wengine bila kujali mamlaka ya Mungu. Amejitwalia ukuu wa Mungu kama alivyofanya shetani. Pamoja na nguvu zake za kishetani, sisi hatutamsema kwa adabu. Tutaendelea na utamaduni wa kumkemea na kumsema vibaya shetani! Kama hapendi, aziache njia zake amgeukie Mungu!
 
Back
Top Bottom