Steve Nyerere: TID anaishi kwa wazazi wake na akiona gari langu ananikimbilia kuniomba 5,000,

Ukweli kina TID wote bado wanaishi kwao, kasoro kaka mkubwa wa msasani, lakini wengine wote wanaishi home.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji118]
 
Kwaiyo wanapaswa kuchezea makofi kwa kuaribu lugha za watu
 
Mtangazaji: "Upo tayari kusimama mahkamani na yeye amesema atakupeleka mahkamani"

Steve: "Aaah sijasikia nasikia tu romances"
 
huyo jamaa kweli hajielewi na ndio think tank wa chama cha kina bashite
Nyie wa kwenu wema sepetu... Mmeamua kumpa ulinzi kabisa... Nasikia mmekuwa team wema kwasasa
 
Good morning tichaaa
 
Mwanaume wa ukweli huwezi kukana jina lako la ukoo na kuamua kutumia jina la ukoo wa Mwanaume mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…