Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga.
Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo. Kwa sasa Tanzania kila chawa atachanganyikiwa ni suala la muda tu.
Baada ya uchaguzi watarudi kwenye factory settings, kwa sasa hawaoni kuwa wanaonekana mapunguwani. Wanachofanya hawa watu ni matusi kwani wanaelekea kumpa utukufu bandia Rais Samia kwa kigezo cha kupata ugali mwepesi.
Pumzika kwa Amani Baba Nyerere 😔 huku kuna mtu ana IQ ya 20 anatumia ubin wako kuonesha mambo ya ajabu. Inashikitisha sana kuona watu wanafanya mambo ambayo hana tija yoyote wala faida kwa taifa na bado anajiona ana utimamu sawa na wanafamilia wa Nyerere?! Madaraka Nyerere pelekeni hii chawa mahakamani iache kutumia jina la Nyerere.