Steve Nyerere uchawa umezidi kipimo!

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga.


Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo. Kwa sasa Tanzania kila chawa atachanganyikiwa ni suala la muda tu.


Baada ya uchaguzi watarudi kwenye factory settings, kwa sasa hawaoni kuwa wanaonekana mapunguwani. Wanachofanya hawa watu ni matusi kwani wanaelekea kumpa utukufu bandia Rais Samia kwa kigezo cha kupata ugali mwepesi.


Pumzika kwa Amani Baba Nyerere πŸ˜” huku kuna mtu ana IQ ya 20 anatumia ubin wako kuonesha mambo ya ajabu. Inashikitisha sana kuona watu wanafanya mambo ambayo hana tija yoyote wala faida kwa taifa na bado anajiona ana utimamu sawa na wanafamilia wa Nyerere?! Madaraka Nyerere pelekeni hii chawa mahakamani iache kutumia jina la Nyerere.
 
Kukosekana kwa kujenga hoja,kujibu hoja ccm ilipofika sasa wanatumia nguvu kubwa kwa wasanii na mambo ya kipuuzi wasijadiliwe.
Embu jiulizeni 2025 ccm haina hata hoja moja zaidi kuzamini mpaka harusi ya hamisa
 
Ni njaa inayomuendesha sio yeye acha atafute ugali familia yake ipate ugali.
 
Acha wivu ndugu. Steve ni mkubwa kuliko wengi humu. Steve ana access na ofisi nyeti za nchi hii. Badala ya kumwonea wivu Steve tutumie muda huo kufanya maendeleo kwa sababu hakuna sheria ya jamhuri wala ya Mungu iliyovunjwa na Steve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…