Anaitwa Steve Mengele Mods rekebisheni hapoSteve Nyerere
MpuuziHalafu wakitukanwa, wanaona wanadhalilidhwa kumbe wanastahili.
Hata sijaelewa.Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.
Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.
Huyu nae u layman unamsumbua tu!!Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.
Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.
Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.K
Kuwadi akijaribu kujenga hoja....
Lazima kiwakeKuna siku niliwaza hapa endapo hiyo oct 29 yakatokea kweli kuna watu wataishi kama umbwa mwenye gono
Wangese hao naoUkisifia TCRA awakugusi ila ukikosoa mbaya
Hivi Mods walifuta kitufe cha kucheka? Mimi sikioniAnaitwa Steve Mengele Mods rekebisheni hapo
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.
Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.
Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.View attachment 3477705Steve hakuna mtanzania fala tena, tena afadhali sisi kuliko hao wanaokuja