GE2025 Steve Nyerere: Upinzani umeshindwa kuonesha nguvu katika Kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​
​
Msilete Kila taarifa za watu humu ni kudhalilisha jukwaa mkuu
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​
​
Hivi pamoja na kwa haka kajamaa ni zero brain lakini kanashindwa hata kufahamu kwamba huu ni uchaguzi wa chama kimoja kikishirikiana na affiliates wake, chama cha upinzani hakishiriki uchaguzi.
Is he really that much of a fool? So sad kwani kama taifa akili kama za hako kamdudu ndiyo majority ya population. We have a very long way to go.
 
Back
Top Bottom