Steve Nyerere: Wanawake kunigombania sio dhambi

Jamaa anafanya kazi gani mjini? Maana mtoto wa namba moja misafara yake ilikoma siku JPM alipoingia Ikulu
 
HONNGERA SANA KWA KUWA NA PESA CHAFU PIA NA KUGOMBEWA NA WANAWAKE.
 
hivi kumbe stivin nae ni superstar?? na kugombaniwa na wanawake nayo ni sifa enhee? acha tuendelee kula kimya kimya tu.
 
Kwa urefu na sura hiyo!?
 
Anasahau kuwa wenye pesa hawasemagi bali huwa tunajionea wenyew kuwa fulani pesa anayo
Yeye kaamua tu kujipigia promo
Au ndo tangazo lake la biashara
 
Huyo steve ni kijana au mzee mana sura imekaa kma mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…