babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Hes humbled you know.We sema tunazidi kubakia wachache wenzako wanaingiza mkwanjwa sasa hiv anaukaribu sana na bilionea lemutuz mzee wa mipangoView attachment 395210
Kumbe kugombana siku hizi ni baraka, sio dhambi tena! Uelewa huu unapatikana kwa baadhi ya wasanii wa Tanzania tu!!!Msanii Steve Nyerere anasema haoni ajabu wanawake kujigonga kwake kwa kuwa yeye ni super star hapa bongo na pia ana pesa chafu,
Steve ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wapo wanawake wanapigana kwa ajili ya Will Smith wa marekani wengine wanaume wanapigana kwa ajili ya Kim Kardashian
Steve amesema kuwa kwa sasa anaishi na mwanamke na ana watoto
View attachment 395121
Udalali a.k.a ukuwadiHivi huyu kijana, nini kinacho muweka hapa mjini?
[emoji134] [emoji134] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Mwenzenu mgonjwa mnamgombea hamna huruma?
...umekopi avi ama umebadili id?Kumbe kugombana siku hizi ni baraka, sio dhambi tena! Uelewa huu unapatikana kwa baadhi ya wasanii wa Tanzania tu!!!
Nikionea huruma hicho kiti kilichokaliwa na pipaWe sema tunazidi kubakia wachache wenzako wanaingiza mkwanjwa sasa hiv anaukaribu sana na bilionea lemutuz mzee wa mipangoView attachment 395210
Zinaa ikizidi huwa sura haieleweki kam mzee,mtoto, dingi au kijana-->>HUYU JAMAA NI WA RIKA GANI?/
•KIJANA
•MZEE
•DINGI FULANI AU....!
AaaahhhhKuna tetesi zilivuma kuwa Steve anatatuliwa