Steve Nyerere: Wanawake kunigombania sio dhambi

Steve Nyerere: Wanawake kunigombania sio dhambi

Msanii Steve Nyerere anasema haoni ajabu wanawake kujigonga kwake kwa kuwa yeye ni super star hapa bongo na pia ana pesa chafu,

Steve ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wapo wanawake wanapigana kwa ajili ya Will Smith wa marekani wengine wanaume wanapigana kwa ajili ya Kim Kardashian
Steve amesema kuwa kwa sasa anaishi na mwanamke na ana watoto

View attachment 395121
Kumbe kugombana siku hizi ni baraka, sio dhambi tena! Uelewa huu unapatikana kwa baadhi ya wasanii wa Tanzania tu!!!
 
Na sada anaomba aliyemroga amsamehe kumbe kajiroga mwenyewe

Akafie mbali huko na ccm yake


Swissme
 
Back
Top Bottom