Steve Nyerere: Wasanii wa Bonge fleva hawajitokezi kwenye misiba

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.

Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba.

===

Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.

Naona hoja ya Steve ni ya kweli ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajotokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.

Lakini watambue hii ni tasinia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba
===============

Wansanii wa bongo fleva wanasema wanajenga brand ya kutoonekana kwenye public ovyo ovyo.
 
Naona hoja ya Steve ni ya kweli ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajotokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.

Lakini watambue hii ni tasinia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba
===============
Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.

Hawalazimishani kwenda misibani, kama haujaguswa na msiba uende kufanya nini? Kumfurahisha Steve Nyerere au michango imepungua hapati ulaji wa kutosha?
Kwao celebrities mahudhurio hutegemea umaharufu wa mareheremu, kila mja afanye kile roho yake inakiona kiko sawa kwake ilimradi havunji sheria za nchi.
 
wata mzika tu hata wasipo kwenda, hakuna haja ya kulalama
 
Huyu jamaa ifike wakati atambue kuwa kila nafsi inabeba dhima yake. Asiwe mtu wa kutupa lawama kila msiba anaokwenda.

Kwenda msibani ni hiyari ya mtu sio lazima. Akienda yeye inatosha. Maana sasa imekuwa yeye anakwenda kwa dhamira ya kutaka kuonekana amekwenda na sio sababu kaguswa na msiba.
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkafanye utaratibu ili wasanii wa bongo fleva waende misibani.
 
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.

Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba.

===

Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.

Hana lolote kaona rambirambi kidogo anataman atokeze diamond nawenzie kapu linone afanye yakee zikiwa kdogo mambo Yale yanakua magum kubalansi
 
Tunamuomba Mama amteue ndugu Sitivu kuwa mkurugenzi wa misiba na msimamizi mkuu wa rambirambi wa serikali
 
Back
Top Bottom