Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wansanii wa bongo fleva wanasema wanajenga brand ya kutoonekana kwenye public ovyo ovyo.Naona hoja ya Steve ni ya kweli ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajotokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.
Lakini watambue hii ni tasinia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba
===============
Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.
Ni ushamba kwenye matatizo hakuna kulinda brandWansanii wa bongo fleva wanasema wanajenga brand ya kutoonekana kwenye public ovyo ovyo.
haaaaa nao ipo siku kitawalambaaaa 😀Hao huwa hawaendi msibani mpaka maiti awe ni yeye.
Wapo busy na Tunda
Kumb una wivuInashangaza sana
Na wakienda wananata balaa na miwani zao kama wachomelea mageti
Hawalazimishani kwenda misibani, kama haujaguswa na msiba uende kufanya nini? Kumfurahisha Steve Nyerere au michango imepungua hapati ulaji wa kutosha?Naona hoja ya Steve ni ya kweli ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajotokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.
Lakini watambue hii ni tasinia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba
===============
Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.
Hana lolote kaona rambirambi kidogo anataman atokeze diamond nawenzie kapu linone afanye yakee zikiwa kdogo mambo Yale yanakua magum kubalansiNaona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva.
Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba.
===
Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye misiba ya wenzao.