chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na uchaguzi umekaribia. Bila shaka wapiga kura watampokea na kauli ya UbayaUbwela. Huku kuna Chief anamkimbiza kimya kimya, huku CCM yule jamaa aliyeshinda kura za maoni za ubunge, JPM akamkata, na yeye anamkimbiza kimya kimya.
Ubaya Ubwela pia uko kwa Waitara, kwa wasiojua na kufuatilia habari, Tarime wameshaanza kampeni za ubunge. Waitara anagongwa nyundo za utosi mpaka kaamua kutembea na wazee wa kimila,lakini waaapi, wanaTarime kila mahali wanamwambia UbayaUbwela. Bila shaka heche atampitia kwa spidi ya kipanga,na atamuangusha hata kabla jiko la mama lishe halijawaka vizuri kwa ajili ya supu.
N.B: Mkoa wa Mara ndio wenye Youtube Channel nyingi sana, huko utakuta Heche na Waitara wakigongana spana bila huruma
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari