Pre GE2025 Steven Byabato, anza sasa kupokea simu za wapiga kura wako, maana uliwasusa ulipopata uwaziri. Waitara, jiandae kwa kimbunga

Pre GE2025 Steven Byabato, anza sasa kupokea simu za wapiga kura wako, maana uliwasusa ulipopata uwaziri. Waitara, jiandae kwa kimbunga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ubaya ubwela kwa jerry slaa -Asia msangi shona suti
Jerry Silaa zile barabara mbovu jimbo zima zinatosha kumuondoa, ni kama barabara zilipigwa mabomu, pamoja na shida ya maji. Kapambana sana akiwa ardhi apate za kufanyia kampeni, ila naona tonge limedondoka.

Labda na yeye ataanza kulazimisha kampuni za simu zimpe hela kwa nguvu
 
Back
Top Bottom