Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad.
Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo tu .

Jee unaiona Nguvu ya Gerrad na Coutinho kuisaidia Liverpool?
 
Liverpool waliisha jiharibia, Man City wana nafasi kubwa ya kutetea taji kwani wana magoli mengi ya kufunga.
 
Back
Top Bottom