Ushauri :
Habari ya upambanaji wa maisha wana Jf?
Kama tunavyofahahu mtu akipungukiwa kinga ya mwili kuna dawa anashauluwa kutumia Jina limenitoka watumiji wanajua. Hata wanaume wanaopungukiwa na nguvu za kiume kuna vipeperushi vingi vimebandikwa ,vinatembezwa hasa DSM ukiwa barabarani utakutana navyo.
Point ya msingi Mimi mwana Jf mwenzenu nimepungukiwa, na hasira nitumie kichocheo gani ili hasira zangu zirudi, maana inatokea hata katika miangaiko yangu ya kutafuta pesa nikizulumiwa natulia wakati zamani sikua kama nilivyo sasa shida ni nini?
Naombeni ushauri wenu.