Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hashim Thabeet
Ushauri :
Habari ya upambanaji wa maisha wana Jf?
Kama tunavyofahahu mtu akipungukiwa kinga ya mwili kuna dawa anashauluwa kutumia Jina limenitoka watumiji wanajua. Hata wanaume wanaopungukiwa na nguvu za kiume kuna vipeperushi vingi vimebandikwa ,vinatembezwa hasa DSM ukiwa barabarani utakutana navyo.
Point ya msingi Mimi mwana Jf mwenzenu nimepungukiwa, na hasira nitumie kichocheo gani ili hasira zangu zirudi, maana inatokea hata katika miangaiko yangu ya kutafuta pesa nikizulumiwa natulia wakati zamani sikua kama nilivyo sasa shida ni nini?
Naombeni ushauri wenu.
Kuna watu wanachuki kiasi cha wao kujisahaulisha kuwa mmoja ni marehemu,lakini sawa maana kuna watu wakikuta mada za hivi ndo wanapata sehemu ya kupunguza misumari ya chuki iliyowakaba kooni kutokana na mnyooooooooooooosho wa nguvu hadi hawapumui HONGERA DIAMOND WEWE NDIYE MSANII MWENYE HADHI YA NEMBO YA TAIFA WEWE NI MAARUFU ZAIDI YA HATA RAIS WA TZ, Hutaki unaacha ujabakwa wala nini.