Steven Kanumba, Daimond Platnumz na Mbwana Ally Samatta

Steven Kanumba, Daimond Platnumz na Mbwana Ally Samatta

Huyo ameendekeza starehe hata kwenye D League hayupo tena. Ametusikitisha nafasi aliyopata kaichezea. Wenzie wako mbali.

Upo Marekani unawaza Papuchi za akina Wema utashuka tu,Samatta na Ulimwengu ndo Majembe yetu kwa Sasa
 
Wema ndo kila kitu katika sanaa ya bongo
 
Diamond platnumz ndo Jembe lao hakuna zaidi ya Platnumz kati ya miongoni ya hao wote tajwa hapo juu na mtoa mada na wachangiaji mawazo yalo ya kweli.
 
Hadith hz.!0000000 tupu!!!! Hamna kipya,wapo nawamekaa kimya.!!!mme kalili tuzooooo! Hapa kz tu.unjanja kwa 🔐haupo tn.ukweli utajulikana kipind hiki!!!!!!!
 
so kukariri Tuzo yenyewe yajionesha na umenena kweli na mengi yaja kwa kipindi hiki cha Magufuli diamond platnumz atafanya miujiza ndani ya bongo na nje ya bongo zaidi ya Tuzo.
Itaitwa diamondPlatnumz' Miracles.
 
Last edited by a moderator:
Je, serikali inatambua kazi za hawa ndugu zetu au kuna kitu wanapata/wanatoa katika kazi za hawa ndugu zetu!!?


Sijaelewa mantiki ya hii topic, serikali inatakiwa kutambua hata kazi za madereva wa daladala. Sasa nyoosha maelezo, ulikuwa unataka kuuliza nini?
 
Back
Top Bottom