Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!
Mwaka 2012 story za ufrimasoni zilikua on fleek. Ona hii.
 
Leo ni miaka 5 tangu kufariki kwa huyu legend wa Bongo Movies, sijui alikufa na Bongo Movies yake, maana mpaka leo bado hakuna star mwingine wa Bongo movies aliyebamba kama Kunumba.

Ila pia ukiangalia stories za baadhi ya ma top stars wa Bongo wamekulia maisha ya taabu sana utotoni, ndipo baadae waka win akiwemo Diamond Platinum.

Hata super star wetu kwenye tasnia ya siasa pia alikulia kwenye shida hivi hivi.

Ukiwa top star na kupendwa na wengi una risk kukatishwa maisha yako kufuatia notion ya "wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana" hivyo ni bora kufanya visa uchukiwe upate maisha marefu.

RIP Stephen Kanumba.
Paskali
 
Kama Lulu kweli ndio mhusika, then, ni kuanzia leo ndio Kanumba, ata rest in piece.
Lakini kama alianguka mwenyewe kutokana na pombe ya Jack Daniel kumzidia, then, karma is upon him, ukijumlisha na kosa la ubakaji under 14!, karma itamlipia Lulu kwa kumfidia, kwanza kwa kubakwa na hilo jibaba super star, kisha kusingiziwa kuua!. Fidia kwa Lulu ni atakuja kupendwa na super star mkubwa kuliko Kanumba, halafu familia ya Kanumba, will suffer the consequences za matendo maovu ya Kanumba.

Paskali
 
Leo pia ni kumbukumbu ya kifo cha Stephen Kanumba . RIP Stephen Kanumba
P
 

Kwa mfano huu , kuna sababu mahususi kwanini uliitwa kwenye baraza la Maadili (aka madili) !!
 

Leo ni imetimia miaka 10, toka kifo cha nyota huyu wa Bongo Movies, Steven Kanumba, na mpaka Leo, sio tuu pengo lake halijazibika, bali hajapatikana star mwingine yoyote wa kuvaa viatu vyake vikamfiti.

RIP Steven Kanumba, tutakukumbuka milele!.
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…