warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kanumba yuko vizuri,napenda sana anavyoigiza hasa filamu yake ya Moses ni nzuri na ina mafunzo sana
Mmh moses ile ni kiboko, ilitakiwa mtu mwenye akili nyingi sana kama kanumba na aliuvaa uhusika kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanumba yuko vizuri,napenda sana anavyoigiza hasa filamu yake ya Moses ni nzuri na ina mafunzo sana
Tribute to Dena Amsi.Pasco bana hiyo red nimekubali wewe msukuma chapa ya ng'ombe
Hiyo red umekuja kupigia debe kijanja nini kati ya hao kuna aliyekutuma??
Mwaka 2012 story za ufrimasoni zilikua on fleek. Ona hii.Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!
Leo ni miaka 5 tangu kufariki kwa huyu legend wa Bongo Movies, sijui alikufa na Bongo Movies yake, maana mpaka leo bado hakuna star mwingine wa Bongo movies aliyebamba kama Kunumba.Wababodi,
Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).
Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi Mketema akimzungunzia Bongo Movies No. 1 Top Celeb, Steven Kanumba.
Story yake ni very touching. Ni product ya broken family aliyekumbana na madhila ya wicked step mother!. Jamaa ameteswa sana utotoni na mateso yake yamenigusa sasa na mimi nampenda huyu jamaa.
Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.
Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).
Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.
Kwa mtakaotaka kuona angalieni marudio kesho saa 4.00 usiku Clouds. J4 ijayo part 2 ya Kanumba itaendelea!
Paskali
Update:
Jamani, baada ya kupokea taarifa za kifo cha Steven Kanumba, nimeikumbuka hii post nilibandika tarehe kama ya leo exactlymiezi miwili iliyopita!.
Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.
Ama kweli nimeamini maneno ya walimwengu "Wanaopendwa na Wengi, Hufa Wangali Vijana"!.
Nimeguswa sana!.
Rip Steven Kanumba!.
Paskali!.
Steven Kanumba RIP, Dena Amsi RIPPasco bana hiyo red nimekubali wewe msukuma chapa ya ng'ombe
Hiyo red umekuja kupigia debe kijanja nini kati ya hao kuna aliyekutuma??
Makaburi ya Kinondoni RIP Steven KanumbaLeo ni miaka 5 tangu kufariki kwa huyu legend wa Bongo Movies, sijui alikufa na you? !.
Paskali
Wababodi,
Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).
Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi Mketema akimzungunzia Bongo Movies No. 1 Top Celeb, Steven Kanumba.
Story yake ni very touching. Ni product ya broken family aliyekumbana na madhila ya wicked step mother!. Jamaa ameteswa sana utotoni na mateso yake yamenigusa sasa na mimi nampenda huyu jamaa.
Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.
Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).
Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.
Kwa mtakaotaka kuona angalieni marudio kesho saa 4.00 usiku Clouds. J4 ijayo part 2 ya Kanumba itaendelea!
Paskali
Update:
Jamani, baada ya kupokea taarifa za kifo cha Steven Kanumba, nimeikumbuka hii post nilibandika tarehe kama ya leo exactly miezi miwili iliyopita!.
Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.
Ama kweli nimeamini maneno ya walimwengu "Wanaopendwa na Wengi, Hufa Wangali Vijana"!.
Nimeguswa sana!.
Rip Steven Kanumba!.
Paskali
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponiLeo pia ni kumbukumbu ya kifo cha Stephen Kanumba . RIP Stephen Kanumba
P
Leo ni miaka 5 tangu kufariki kwa huyu legend wa Bongo Movies, sijui alikufa na Bongo Movies yake, maana mpaka leo bado hakuna star mwingine wa Bongo movies aliyebamba kama Kunumba.
Ila pia ukiangalia stories za baadhi ya ma top stars wa Bongo wamekulia maisha ya taabu sana utotoni, ndipo baadae waka win akiwemo Diamond Platinum.
Hata super star wetu kwenye tasnia ya siasa pia alikulia kwenye shida hivi hivi.
Ukiwa top star na kupendwa na wengi una risk maisha yako kufuatia notion ya "wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana" hivyo ni bora kufanya visa uchukiwe upate maisha marefu.
RIP Stephen Kanumba.