Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Mkuu wa Mkoa na watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walikwenda kwenye kituo hicho kupata huduma ya mafuta, Ofisi ya GPSA Makao Makuu imemteua Steven Muro kukaimu nafasi hiyo.
Soma Pia: Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja
RC Paulo Chacha wakati akizungumza na Kaimu Meneja wa GPSA alipofika ofisini kwake kuripoti tayari kuanza majukumu yake amemtaka Meneja huyo kufanya kazi kwa weledi pamoja na kushirikriana na watumishi wengine kituoni hapo katika kuwahudumia wateja.