Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge.

Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
 
kuna sehemu imeandikwa attach files, bonyeza hapo utaona files zote zilizoko kwenye simu yako
 
Back
Top Bottom