February 25, 2013
Dar-es-Salaam, Tanzania
Na Clezencia Tryphone
UNAPOZUNGUMZIA mashabiki ‘vichaa wa soka la Tanzania', ni wazi kwamba Steven Samuel Mwamwala atakuwa mmoja wao.
Kutokana na uzalendo wa kweli wa shabiki huyo kwa timu ya Yanga, uongozi wa Yanga chini ya uenyekiti wa Yusuf Manji, aliyeingia madarakani Julai 15, mwaka 2012, umemzawadia pikipiki.
Huyo alikuwa kati ya wanachama na mashabiki wachache ambao walipewa tuzo kwenye mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika Januari 20, mwaka huu, kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.
Wakati shabiki huyo akipewa pikipiki, wengine walipewa zawadi tofauti vikiwamo vyeti kama ishara ya klabu hiyo kutambua mchango wao kwa ustawi wa Yanga.
Anamaliza kwa kuwapongeza Clouds FM akisema ndio kama walezi wake akisema kupitia wao, amefanikiwa kujilambia dola kutoka Afrika Kusini.
Source: Benson Muthoka Yanga Fan Loses It After Defeat By Simba youtube
Alamba dolari za Kimarekani toka makampuni ya Afrika ya Kusini
Vyombo vya habari Afrika ya Kusini na duniani
Anasema hiyo ilikuwa Januari 28, mwaka huu, watangazaji wa Afrika Kusini walipokuja kumhoji kutokana na kumuona kwenye mitandao ya kijamii (Youtube) akimwaga chozi kisa Yanga kufungwa 5-0 na Simba. Mtandao wa youtube shabiki Steven Samuel Mwamwala amekuwa al-maaruf kwa video zake kutembelewa na zaidi ya 'view' millioni mbili http://www.youtube.com/watch?v=MxrHiS8VXks na kusaidia timu ya Young Africans (Yanga), Tanzania na soka ya Tanzania kufuatiliwa kwa karibu. Nigeria wachapia http://www.youtube.com/watch?v=v8X_Y6hkd2c
Soma zaidi Source: STEVEN MWAMWALA: Shabiki Yanga aliyezawadiwa pikipiki kwa kumwaga chozi

Last edited by a moderator: