Steven Wasira Arudi Kortini Kumng’ang’ania Bulaya,Rufaa Yake Itasikilizwa Kesho

Steven Wasira Arudi Kortini Kumng’ang’ania Bulaya,Rufaa Yake Itasikilizwa Kesho

Ni haki yake kufuatilia jambo linalomhusu hadi mwisho wake.

Kama atafirisika ni yeye, hilo halikuhusu wewe na halinihusu mimi pia.

Kama atafia mahakamani tutazika, historia itajiandika kwamba keshi yake iliisha baada ya Wasira kufia mahakamani.

Mwacheni mzee wa watu ahangaike na mahangaiko yake.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
a7fdc4c021e33d2c4c30e06c3064ec97.jpg
Hahhahahhaah wassira fashion
 
Wasila kama hujajipanga kalime unampotrzea muda mbunge kufatilia kero za wananchi kwa kesi isiyoisha umechokwa kaa pembeni
 
Huyu mzee si astaafu tu? Awaachie vijana wenye nguvu zao amshakaa sana serikalini.
 
Hivi hizo kesi zinalipiwa? Maana haiishi babu kalee wajukuu ila kama ulitoa ruswa hela zako urudi bungeni lazma uwe kinganga nizi kurudi bungeni kufidia hela yak na hao wanao jifanya ni wapiga kura walio katarufaa lazima wanafyonza tu hela kwako wata kufanya mgodi wa
 
Wasira kweli ni king'ang'anizi. Sijawahi kusikia idadi ya wapigakura kuzidi waliojiandikisha! Eneo la kujumlisha kura ati hakujulishwa hivi wapi imeandikwa ni mawakala elekezi? La viapo ni kuipotezea mahakama muda tu.
 
Back
Top Bottom