PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ni kweli, bado wahusika hawajasema lolote hadi sasa kuhusu magari madogo.Magari madogo wakawa wanarusha rusha siku ya kuzitoa...
Mpaka leo kimya... Kila ukifuatilia unaambiwa bado hazijaanza kuruhusiwa kutolewa za magari madogo mpaka leo kimya....