PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kumekuwa na shida na usumbufu humu barabarani kuhusu hizi stika za usalama barabarani,nilikuwa naomba kujua mwisho wa kukata hizi stika ni lini?
Sina uhakika na taarifa niliyoipata kuwa kuanzia tarehe 1/3/2018 yaani siku 4 zijazo itakuwa mwisho na kama hauna stika basi ni kuchezea vyeti vya faini mwanzo mwisho
Ninaomba mwenye taarifa sahihi utusaidie ili tusichezee makofi ya traffic