Sticky: Updates za tbl

Sticky: Updates za tbl

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Naomba wadau mliopo humu mnaofanya kazi tbl tunaomba muwe mnatupatia updates zinazoendelea juu ya maombi yetu tuloleta hapo head quarter.
 
Wadau humu ndani hakuna watu wanafanya kazi tbl watupe newz?
 
Back
Top Bottom