Stiegler’s Gorge hydroelectric power plant said to affect World Heritage site hetitage

serikali ilifanyie kazi suala ili ; mambo ya mazingira tuna miaka 56 uhuru wenzetu miaka 890 -560.
serikali itengeneze jopo kama la makinikia.
 
UNESCO Watuache tuzalishe Umeme, Kama hawataki basi watupe wao kwa gharama zao source nyingine ya umeme
wewe sisi siyo kama Korea ya Kaskazini- wakiwa na shida tu wamagusa vinu vya nuklia na dunia inawasikiliza
 
Issue siyo Selous
issue pale au hapa ni Climate and the whole ecosystem ya nchi. Abhishek vyote lakini hata Mother Nature....????
 
Hawa wazungu ni wapuuzi, bado wanaendelea na mawazo yao ya kikoloni. Wanasema wananchi 200,000 wataathirika, je wao wana uchungu na watanzania kuliko sisi? Mbona hawasemi wananchi watakaonufaika tulinganishe na watakaoathirika. Ukitaka maendeleo lazima uwe mkali, Trump kawagomea Climate change. Sasa ije zamu ya wale wanaokataza tusitumie ziwa viktoria. Uzuri raisi wetu hana hata mpango wa kwenda kwa wazungu so hawatupati kokote. Tunajenga misingi ya kujitegemea hapo baadaye, lazima waumie
 
Nipo pamoja mheshimiwa rais come rain,come sun ila lazima tujenge

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Hapa naungana na Uncle Magu, wasitupangie. Wanyama wanajua kuendana na mazingira. Bwawa likijengwa watajua namna ya kuishi nalo tu.
 
UN agencies , world Bank na IMF ni wahuni na wanafanya mambo kama Obama alivyomuua Gaddafi.

Wazungu koko, nao si wapande misitu na watengeneze wanyanma kwenye laboratory zao huko wafuge kwenye miji yao. Wao walikata miti wakajenga vitu kama hivyo halafu leo wanatuwekea uzibe akili zao ni mioyo yao ni unafiki umewajaa. Wana ngozi nyeupe ila roho zao nyeusi kama oil chafu ya kujengea barabara ya lami.

Mifano, pale Ethiopia walikataa kuwapa hela Ethiopia ndipo Ethiopia ikatumia fedha zao zote za reserve kujenga, leo hii Ethiopia haitegemei tena umeme kutoka kwa wazungu koko. Hivyo , roho inawauma kuona Ethiopia iko huru kwenye swala la umeme ndiyo maana hawataki kabisa nasi tujenge HEP project.

Mfano, mwingine ni Kule nchini Gambia walikataa kuwapa serikali ya Gambia mkopo wajenge barabara baadaye, Gambia ikajenga ile barabara kutoka eneo la baharini/bandarini kuingia mjini ao hao wazungu koko wakawa wa kwanza kuitumia na kuomba PPP project kwenye hiyo barabara.

President, Dr. Magufuli, mbunga na misitu ni yetu na sisi ndiyo tunaojua thamani yake, hivyo tujengeee hiyo HEP ili tupate umeme wa kutosha.

Wazungu koko, wanataka tusijenge viwanda ili tuendelee kuwa tegemezi kwao na soko la bidhaa zao.

President, Dr. Magufuli, go, go.

Don't listen to hypocrite whitemen because, they have light skin while inside they have souls and hearts which are dark like soot and smoke from a diesel engine.

Yaani, binafsi wazungu koko hawa wananiboa sana, mfano, USA na Europe wanafiki sana, walimua Gaddafi ivi hivi hiki Kiobama kijaluo kipuuzi Sana sijawahi kuona mjaluo mjinga bali Obama pekee tangia nazaliwe.
 


Avoiding pushing problems ahead of you and don't say that "we will see what's next" remember, at the moment we are catching up with capitalist world by doing whatever they did to us where the results is an extreme poverty despite of the facts you mentioned above.

We are in an economic war. Prof. Yash Tendon wrote a book titled "Trade is War" read this book you will see what is next. While, Babu, wrote The "Economic Liberation"
 
Lakini Mh rais aliona hili na kusema kabisa hataomba hela za mkopo wala msaada maana anajua watamletea mambo ya environmental impact. Na pia tunachukua eneo dogo sana.
Lakini kwa ufahamu tu mdogo, nchi ni yetu, ardhi ni yetu, wanyama ni wetu, maji ni yetu kwanini tupangiwe matumizi??
Tunaamua kutokana na vipau mbele vya nchi sio vya watu wa nje, wao waliwahi kusaidia nini hii nchi?? Wapite hivi....[emoji117][emoji117]

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 


Ndiyo hivyo mkuu,
Wazungu koko ni wanafiki sana wanataka tuendelee kuwa tegemezi kwao.

Rais, Dr. Magufuli, fanya kazi.

Hapa Kazi Tu.
 
Nipo pamoja mheshimiwa rais come rain,come sun ila lazima tujenge

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app

Ndiyo hivyo mkuu .

Lazima tujenge.

Wazungu koko ni wanafiki sana wanataka tuendelee kuwa tegemezi kwao.

I am with my President, Dr. Magufuli.
 
Nipo pamoja mheshimiwa rais come rain,come sun ila lazima tujenge

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app

Mkuu, ndiyo hivyo.

Lazima tujenge hii HEP project kwa ajili ya viwanda na uchumi wetu.

Wazungu koko ni wanafiki sana wanataka tuendelee kuwa tegemezi kwao.

I am with my President, Dr. Magufuli.
 
IMF, WHF, WB etc, etc siku zote hutetea Serkali za mafisadi.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
I do respect your views, and this is your good and wise one but really I'm not sure if I can dispute too much longer, I better end here and bye for now.
 
Umesema ingekuwa wewe. Hatuna mpango wa "ninge" wala "tunge" hapa "tuna"......
Afterall we don't have time to waste,to test and to rest.

Who says it's impossible should not interrupt who's doing it.


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huu mradi utaleta kelele sana kutoka kwa watu wa mazingira, mbaya zaidi hata baadhi ya NGOs zimeshaanza kuupinga bila hata Kujua athari zipi zitatokea. Inasikitisha. Ambacho hawajui ni kwamba Environmental Impact Assessment itafanyika na itaonyesha athari gani zinaweza jitokeza kisha njia sahihi zitapendekezwa jinsi ya kuzizuia au kuzikwepa. Haya mambo yanafanyika kwenye mradi yote mikubwa hata ndani ya mbuga zetu. Kinachofanya kelele kuwa nyingi wakati Huu ni kwamba mradi Huu utatupa energy sufficiency hivyo kusitisha uhitaji wa umeme wa dharura au gesi unaotengenezwa na makampuni ambayo yanatoka nchi zilizoendelea. Ila Mungu wa ajabu, katupa Magufuli na Nina imani mradi utaenda mbele. Hizi kelele za mazingira hazina mashiko kwani tathmini ya mazingira itafanyika na athari kama zinaweza jitokeza zitashughulikiwa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…