niliwahi kudokezwa na ofisa mmoja wa wizara ya nishati, kuwa huu mradi ukitekeleza, tanzania tutasahau matatizo ya umeme, na tutakuwa na ziada ya kuuzia nchi jirani.
kwa kweli mradi umesua for a long time, i hope serikali sasa ina dhamira ya kweli ya kuutekeleza
mradi huu umefikia wapi jamani, au ndo ivyo tena?
kitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.
na hizi development za IPTL, mikataba ya gas mibovu, nahisi giza linakujaRais Magufuli akutana na wataalam nishati wa Ethiopia kuzungumzia mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler's gorge MICHUZI BLOG: RAIS DKT MAGUFURI AKUTANA NA WATAALAMU WA NISHATI KUTOKA ETHIOPIA NA TANZANIA, KAMATI ZA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA MADINI (MAKINIKIA)
Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo.
Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye utekelezaji na itakuwa bora tukazungumzia mradi huu kwa mtazamo wa kibishara na kiuchumi.
Mkurugenzi Mkuu wa RUBADA Bw. Aloyce Masanja akibadilishana nyaraka za makubaliaon ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge pamoja na mkurugenzi wa biashara wa kampuni ya Odebrecht ya Brazil Bw. Fernando Soares jana mjini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya MICHUZI Blog