Stiegler's gorge hydropower project

Stiegler's gorge hydropower project

kitakachotokea ni kwamba huo mradi utacheleweshwa maksudi ili usianze mapema iwezekanavyo maana wenye majenereta wako bize kumaki maprofiti kwenye mikataba walioingia na tanesco. Kwa namna yoyote huo mradi utangangaa uaanza kuzalisha umeme mwaka 2020.
Daaah unabii huu
 
tukamilishe na tujiridhishe na ripoti ya athari za mazingira (EIA) kwanza then tuutekeleze mradi kwa nia moja kama nchi
Mazingira gani wewe, hizo tenda za kutukodishia majenereta kwa capacity charge za ajabu ndio zinaelekea mwisho, tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
 
Back
Top Bottom