Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Bado sisi tunaojifanya hatutaki hifadhi ya mazingira ya mbuga na mapori yetu kuharibiwa kiasi kwamba tumekuwa tunawaua mpaka wafugaji wanaoingiza mifugo, kina mama wanao ukota hata kuni, Leo hii tunaambiwa madhara makubwa ya eneo la urithi kuharibika tunageuza maneno kuwa hizo no njama za wazungu?
Ukiangalia kwa makini hata mijadala yetu imegubikwa na ushabiki mtupu, sio huru bali mjadala utategemea nani kasema nini na ni wakuunga mkono au ni wale kuwapinga?
Ukiangalia kwa makini hata mijadala yetu imegubikwa na ushabiki mtupu, sio huru bali mjadala utategemea nani kasema nini na ni wakuunga mkono au ni wale kuwapinga?