mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Matokeo yapo humu mkuu.. Fatilia Kuna Uzi wa mechi ya leoVipi Kwa wasiojua MATOKEO?????
Muwe mnajifunza kuandika taarifa iliyonyooka.
Mbona refa alikuwa sawa tu, labda mshika kibendera Kwny krosi ya LomalisaRefa wa leo amechangia yangu kutopoteza mchezo
Uzi wake haukuwa wa kutoa matokeo ya leo bali ameweka kuwapongeza yanga kwa kutopoteza michezo 40 ya ligi kuu..Vipi Kwa wasiojua MATOKEO?????
Muwe mnajifunza kuandika taarifa iliyonyooka.
40 games??? Be siriaz mkuuChupli chupli
Kawanyima penat ya halali Azam katoa penati ya mchongo kwa YangaMbona refa alikuwa sawa tu, labda mshika kibendera Kwny krosi ya Lomalisa
Angalia Tena replay youtube kisha urudi tena kukomenti kuhusu uhalali wa penati ya Morison,Kawanyima penat ya halali Azam katoa penati ya mchongo kwa Yanga
Halafu hiyo krosi ndio imefanya yanga wakapata bao la kwanza
kuwa walau na AIBU kidogoAngalia Tena replay youtube kisha urudi tena kukomenti kuhusu uhalali wa penati ya Morison,
kuhusu unayosema ya Azam nadhani Ile ni clear dive hata picha za marejeo zinaonesha ilo, pia hata kama utamuhukumu Mwamnyeto bado haiwezi kuwa penati Kwa maana tukio ni nje box mchezaji kaenda kuangukia ndan ya box. kosa pekee ambalo ni la mshika kibendera ni kuruhusu krosi ya Lomalisa Kwa mpira ulikuwa ushatoka nje..
Ila pia nadhani kipindi cha kwanza tu Kiungo mkabaji wa Azam Sospeter Bajana alistahili red kadi ambayo ingewapa faida Yanga kuwabutua Azam mapema kabisa na haya malalamiko yasingekuwepo