mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Leo ni game ya 40 kweny ligi ya NBC timu ya Wananchi hawajaonja kichapo cha kupoteza mechi.
Japo najua huko mbeleni watafungwa tu ila paka kufika hapa wanastahili pongezi. Bravoo Wananchi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]