Stock traders wa JF tuungane hapa

mkuu samahani naomba unijubu yafuatayo

1.ni kiasi gani ambacho naweza anza kuwekeza hisa (nashilingi laki tano )

2.Je mikoani kuna matawi ya kununua hisa mfano NMB
 
Soma Waraka wa Matarajio wa VODA asikudanganye mtu hapa kuna kuvuna possibility ya risk ni ndogo guys tujitose...
mkuu kuwekeza katika hisa unaweza ukaanza na kiasi gani binafsi na laki tano
 
Mkuu why the last week,utajuaje km mauzo yanaenda vizuri?...pia voda wamesema dividend itakuwa 50% ya faida iliyopatikana after tax,na 50 nyingine itakuza mtaji,sasa kwa wajuzi naomba kujua kama hii policy ni nzuri kwetu sisi wawekezaji wadogo
 
Wakuu me naona mngetupa maujuzi na sisi tusio na uelewa wa kutosha about this
 
inawezekana vipi nchi corrupt kama hiyo hakuna mambo ya insider trading?
 
mkuu samahani naomba unijubu yafuatayo

1.ni kiasi gani ambacho naweza anza kuwekeza hisa (nashilingi laki tano )

2.Je mikoani kuna matawi ya kununua hisa mfano NMB
1.Mkuu kuhusu kihasi cha kuanza cna uhakika sana wakala ndo atakupa jibu kamili.ila nimekua nikiona watu wana invest hadi laki1,laki2.
So hyo ulio nayo inatosha sana bosi ichukue hyo gawanya kwa 850 utapata idadi ya hisa utakazo pata.
2.kuhusu pa kununulia Kuna mawakala wakuuza hisa, mm binafsi wakala wangu nnae mtumia anaitwa ORBIT SECURITIES. Wako pale Golden Jubilee posta.ila kama uko mkoani watafute CRDB hawa pia mara nying wamekuwa wakitumika kama mawakala so watakupa utaratibu mzima.
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
 
Hii nilishajaribu nikapoteza 500k ni utapeli.
 
asante kwa muongozo
 
Hii nilishajaribu nikapoteza 500k ni utapeli.
Nyie ndo watu mnao invest vitu kichwa kichwa bila kufanya research..... Mkipata hasara mnasema utapeli.... Its so Foolish.... People are making millions all over the world.... Hata hapa TZ people are making gud monry through bitcoins... Wewe umeshndwa kuinvest wisely unaanza kuiita utapeli... Failures bhana lazma walete excuses
 
mkuu kuwekeza katika hisa unaweza ukaanza na kiasi gani binafsi na laki tano
Mkuu kiwango cha kuanzia kwenye ununuaji wa hisa huwa ni hisa 100,kwa maana hiyo kiwango cha chini kwa vodacom itakugharimu 850*100 =85,000Tzs,kuanzia hapo unaweza ongeza hisa kwa mafungu yoyote ya 10 i.e hisa 10,20,30,40 mpaka mwisho wa uwezo wako.kwa kiwango chako cha laki tano ina maana utapata hisa 500,000 /850 =588.2 (580).utapata hisa 580 maana kiwango cha chini ni mafungu ya 10.nadhani umenisoma
 
Zipo ndugu prospectus hiyo hapo tena ya kiswahili...nimeshajilipua tuhisa 2000 tu nione upepo utaendaje am sure zitapanda,jaribu aisi ili u succeed huna budi kubeba uncertainties
Asante mkuu
 
Uko sahihi mkuu ila hisa za voda crdb hawamo ni nbc na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…