Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu samahani naomba unijubu yafuatayoDah!! Mkuu usinikumbushe Ile ya DSE nili invest Mil 20 kene Primary market kwa kubreak kwenye Mil Tano Tano(nilifanya hvi kukwepa panga la kene prorata), bei ilikua sh 500 per share.
Kene secondary market the first week ikashoot hadi 1000, nikapata faida ya Mil 20, ukitoa brokage fee nkabaki na kama Mil 19 na kitu.
Nilivyo uza tu zikapanda tena hadi 1500,
Na Uanaume wangu nilitoa mchozi ckuile nlivyogundua. Yani kama ningebaki nazo nlikua napata faida ya mil 40.
Ila pia namshukuru mungu coz hio mil 19 nimeanzisha duka na kumalizia lodge yangu.
Money makes money, and the money that money makes...makes more money.
mkuu kuwekeza katika hisa unaweza ukaanza na kiasi gani binafsi na laki tanoSoma Waraka wa Matarajio wa VODA asikudanganye mtu hapa kuna kuvuna possibility ya risk ni ndogo guys tujitose...
Mkuu why the last week,utajuaje km mauzo yanaenda vizuri?...pia voda wamesema dividend itakuwa 50% ya faida iliyopatikana after tax,na 50 nyingine itakuza mtaji,sasa kwa wajuzi naomba kujua kama hii policy ni nzuri kwetu sisi wawekezaji wadogoK
Kuna risk afu kuna calculated risk..Take calculated risk.
Hizi za voda mauzo ni wiki sita, ndo kwanza ziko wiki ya kwanza.Kwasasahv siwezi nikakushauri ununue au usinununue coz bado ni mapema sana ndo kwanza zimeanza kuuzwa, nakuomba kua na subira nikumbushe ile wiki ya mwisho, nitakupa jibu kamili.wiki ya mwisho hua ndio wiki ya kufanya maamuzi.
1.Mkuu kuhusu kihasi cha kuanza cna uhakika sana wakala ndo atakupa jibu kamili.ila nimekua nikiona watu wana invest hadi laki1,laki2.mkuu samahani naomba unijubu yafuatayo
1.ni kiasi gani ambacho naweza anza kuwekeza hisa (nashilingi laki tano )
2.Je mikoani kuna matawi ya kununua hisa mfano NMB
Hii nilishajaribu nikapoteza 500k ni utapeli.Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.
Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .
kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
asante kwa muongozo1.Mkuu kuhusu kihasi cha kuanza cna uhakika sana wakala ndo atakupa jibu kamili.ila nimekua nikiona watu wana invest hadi laki1,laki2.
So hyo ulio nayo inatosha sana bosi ichukue hyo gawanya kwa 850 utapata idadi ya hisa utakazo pata.
2.kuhusu pa kununulia Kuna mawakala wakuuza hisa, mm binafsi wakala wangu nnae mtumia anaitwa ORBIT SECURITIES. Wako pale Golden Jubilee posta.ila kama uko mkoani watafute CRDB hawa pia mara nying wamekuwa wakitumika kama mawakala so watakupa utaratibu mzima.
Nyie ndo watu mnao invest vitu kichwa kichwa bila kufanya research..... Mkipata hasara mnasema utapeli.... Its so Foolish.... People are making millions all over the world.... Hata hapa TZ people are making gud monry through bitcoins... Wewe umeshndwa kuinvest wisely unaanza kuiita utapeli... Failures bhana lazma walete excusesHii nilishajaribu nikapoteza 500k ni utapeli.
Mkuu kiwango cha kuanzia kwenye ununuaji wa hisa huwa ni hisa 100,kwa maana hiyo kiwango cha chini kwa vodacom itakugharimu 850*100 =85,000Tzs,kuanzia hapo unaweza ongeza hisa kwa mafungu yoyote ya 10 i.e hisa 10,20,30,40 mpaka mwisho wa uwezo wako.kwa kiwango chako cha laki tano ina maana utapata hisa 500,000 /850 =588.2 (580).utapata hisa 580 maana kiwango cha chini ni mafungu ya 10.nadhani umenisomamkuu kuwekeza katika hisa unaweza ukaanza na kiasi gani binafsi na laki tano
Asante mkuuZipo ndugu prospectus hiyo hapo tena ya kiswahili...nimeshajilipua tuhisa 2000 tu nione upepo utaendaje am sure zitapanda,jaribu aisi ili u succeed huna budi kubeba uncertainties
Uko sahihi mkuu ila hisa za voda crdb hawamo ni nbc na wengine1.Mkuu kuhusu kihasi cha kuanza cna uhakika sana wakala ndo atakupa jibu kamili.ila nimekua nikiona watu wana invest hadi laki1,laki2.
So hyo ulio nayo inatosha sana bosi ichukue hyo gawanya kwa 850 utapata idadi ya hisa utakazo pata.
2.kuhusu pa kununulia Kuna mawakala wakuuza hisa, mm binafsi wakala wangu nnae mtumia anaitwa ORBIT SECURITIES. Wako pale Golden Jubilee posta.ila kama uko mkoani watafute CRDB hawa pia mara nying wamekuwa wakitumika kama mawakala so watakupa utaratibu mzima.